Faragha ya wageni
Linda namba, majina, na majibu ya wageni wako ndani ya mfumo mmoja salama.
TukioSmart hukusaidia kuandaa kadi, kutuma mialiko, kupokea RSVP, na kuhakiki wageni kwa QR bila kuchosha timu yako.
Kwanini uchague TukioSmart?
Mfumo uliotengenezwa kwa waandaaji wa hafla wanaohitaji mwaliko mzuri, taarifa sahihi, na mlango unaokwenda haraka.
Linda namba, majina, na majibu ya wageni wako ndani ya mfumo mmoja salama.
Tengeneza mwaliko unaofanana na hafla yako bila kuanza upya kila mara.
Tuma mialiko kwa makundi, fuatilia iliyofika, na punguza kazi ya kurudia.
Hakiki mgeni mlangoni kwa msimbo wa QR na rekodi mahudhurio kwa haraka.
Wape wasaidizi ruhusa za kuhakiki wageni bila kuwapa mfumo wote.
Ona matumizi ya ujumbe, bajeti, na njia zinazokusaidia kuokoa gharama.
Jinsi inavyofanya kazi
Panga hafla, tuma ujumbe, pokea majibu, kisha hakiki wageni wako kwa utaratibu mmoja ulionyooka.
Ingiza taarifa za hafla, chagua muonekano wa kadi, na panga makundi ya wageni.
Tuma mwaliko kwa WhatsApp, SMS, au barua pepe na fuatilia majibu ya RSVP.
Tumia QR check-in siku ya tukio, hata mtandao ukisumbua eneo la hafla.
Bei zetu
Kwa hafla zenye wageni wengi na msaada wa karibu.
Sampuli za kadi
Waweza taka kujua
Majibu mafupi kwa mambo ambayo waandaaji wa hafla huuliza kabla ya kutumia huduma.
Ni mfumo wa kutengeneza, kutuma, na kudhibiti mialiko ya kidijitali kwa hafla.
Ndio, unaweza kusasisha taarifa za hafla na orodha ya wageni kabla ya tukio.
Unaweza kutumia ujumbe mfupi na namba maalum ya uhakiki badala ya QR.